KIFARANSA
KIINGEREZA

ELIMU YA KIVU.


Jina Kivu ni jina la zamani za kale, karibu mwaka 1914, wa Beleji walipokata nchi katika vipande 22.
Mwaka 1935, vile vipande vili ungwa ku fanya ma jimbo 6.
Jimbo la Constermansville lili badilishwa jina na ku itwa Kivu mwaka 1947.
Jimbo la Kivu lili kuwa na vipande vi tatu : "Kivu ya Kaskazini", "Kivu ya Kusini" na "Maniema".
Mji mkuu wa jimbo la Kivu ili kuwa Bukavu. Na miji mikuu za vipande vile vi tatu zili kuwa Goma, Uvira na Kindu.
Mwaka 1988, serikali la Raisi Mobutu Sese Seko lili hukumu ku badilisha zile vipande tatu za Kivu ku geuka ma jimbo kila moja peke yake.
Kivu ni jina piya ya ziwa kubwa la Afrika kandokando ya Jimbo na inayo tenga inchi Rwanda na Kongo.
Ziwa la Kivu lina tiririka katika mto Ruzizi na ku ishiya katika ziwa la Tanganyika.
Kuna milima mengi kandokando la ziwa la Kivu na kisiwa kikubwa kina patikana kati-kati ya ziwa kinacho itwa Idjwi.